Wajanja Club models
Wajanja club (Da chamber of news and entertainment naratives) ....Stay updated everyday.

Wajanja Club models
Wajanja club (Da chamber of news and entertainment naratives) ....Stay updated everyday.

Wajanja Club models
Wajanja club (Da chamber of news and entertainment naratives) ....Stay updated everyday..

Wednesday, July 6, 2011
......WATCH ME NAKED.........NIKO BOMBA......


Mwanamitindo Tessa ametoa mpya baada ya kuwaambia mashabiki wake kuwa akiwa Naked yuko bomba zaidi ya maelezo yenyewe. Mwanadada huyu ametoa mpya hiyo wakati alipokuwa kwenye mahojiano na studio moja ya radio nchini Marekani. Alisema kuwa ni zawadi kubwa sana kwa yeyote ambaye angebarikiwa kumuona akiwa Naked kwasababu anaamini kuwa yuko bomba zaidi ya maelezo yake... Namshukuru mungu kuwa aliniumba nikaumbika. hata hivyo wadau wa mambo wanadai kuwa mwanadada huyu ni kati ya wasichana wenye mvuto wa pekee na aliyeumbika akakamilika....
..........RIHANNA SONGS ARE REALLY EXPENSIVE..........


How much does it cost to make a hit single? NPR decided to deep-dive into Rihanna's "Man Down" as a case study, and what they found was predictably eye-popping: When you add the costs of pulling together a songwriters' camp (which, in Rihanna's case, is about $200,000), and covering expenses for the songwriter, producer, vocal producer, mix recording, and promotion, a single song can easily cost over a million bucks. "The reason it costs so much is because I need everything to click at once," explains Ray Daniels, who manages the "Man Down" songwriters. "You want them to turn on the radio and hear Rihanna, turn on BET and see Rihanna, walk down the street and see a poster of Rihanna, look on Billboard, the iTunes chart, I want you to see Rihanna first. All of that costs." And no doubt, Usher appreciates Ri-Ri's expensive leftovers. [NPR]
..............JOB OPPORTUNITY........


Sales / Sr. Sales Executive at Tanzania with a Consumer Electronics Co
Consumer Electronics Co.
Date Listed: 05/07/2011
Email Address: Click to Email
Phone: N/A
Area: Tanzania
Application Deadline: 15/07/2011
Phone: N/A
Area: Tanzania
Application Deadline: 15/07/2011
Position Description:
Any Graduate -2- 5 yrs experience in handling and managing dealer network. Age: 23 - 27 yrs.
1. Aggressive/ Self Starter
2. Very good communication skills- in English and Hindi.
3. Knowledge of MS word/ Office / power point a must.
4. Knowledge of Business Accounts.
5. Ability to work under pressure and meet deadlines
6. Candidate from Consumer Electronics/ Durable/ FMCG preferred.
Job Description
The position would be responsible for:
1. Managing existing dealer network
2. Developing new markets
3. Broadening dealer network base.
4. Sales /collection management with time frame.
Any Graduate -2- 5 yrs experience in handling and managing dealer network. Age: 23 - 27 yrs.
1. Aggressive/ Self Starter
2. Very good communication skills- in English and Hindi.
3. Knowledge of MS word/ Office / power point a must.
4. Knowledge of Business Accounts.
5. Ability to work under pressure and meet deadlines
6. Candidate from Consumer Electronics/ Durable/ FMCG preferred.
Job Description
The position would be responsible for:
1. Managing existing dealer network
2. Developing new markets
3. Broadening dealer network base.
4. Sales /collection management with time frame.
Application Instructions:
Apply to the Email link above or visit the website for further details.
Website: Go to Website
Apply to the Email link above or visit the website for further details.
Website: Go to Website
..........MISS UNIVERSE 2011 (NELLY KAMWELU) AITENDEA HAKI TANZANIA.......


Miss Universe 2011 Nelly Kamwelu (pichani) anyakua taji la Miss Southern Africa International 2011
Miss Universe Tanzania 2011 Nelly Kamwelu akiwa na shada la maua muda mfupi baada ya kuwasili nchini
Miss Universe Tanzania 2011 Nelly Kamwelu akiwa katika pozi
Miss Universe Tanzania 2011 Nelly Kamwelu(kushoto)akipokewa na Maria Sarungi Muda Mfupi baada ya Kuwasili
-----
-----
Mrembo aliyeshinda taji la Miss Universe Tanzania 2011 Nelly Kamwelu ameshinda taji la Miss Southern Afrika International 2011 katika mashindano yaliyofanyika Ndola nchini Zambia na kushirikisha warembo kutoka nchi mbalimbali za kusini na mashariki mwa Afrika.Nelly aliyepata mwaliko wa kushiriki mashindano hayo kupitia bodi ya Utalii Tanzania (TTB) ameshinda taji hilo jumapili ya Juni 27 mwaka huu.
Fursa hiyo imemsaidia Nelly kupata uzoefu kabla ya kwenda katika mashindano ya Miss Universe kimataifa mwezi wa nane na tisa mwaka huu.Mashindano hayo mbali ya kujenga mshikamano miongoni mwa nchi za kiafrika yanalenga pia kuvutia na kutangaza utalii wa nchi washiriki.
Mbali na kushiriki shindano la urembo,wakiwa nchini Zambia warembo washiriki akiwemo Nelly walihsiriki na kufanya kazi mbalimbali za kijamii kama vile kutembelea hospitali za watoto na vituo vya kulelea watoto na kushiri maonyesho ya kimataifa ya biashara nchini humo.
Ukiondoa Tanzania nchi nyingine za Afrika zilizoshiriki ni Namibia, Zambia, Lesotho, Afrika ya Kusini, Botswana, Zimbabwe, Swaziland, Congo, Malawi na Msumbiji.Nyota ya Nelly ilianza kung’ara pale aliposhinda taji la Miss Universe katika shindano lililodhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania ikiwa ni sehemu ya azma ya kampuni hiyo ya kuibua,kuendeleza na kulinda vipaji vya vijana wa kitanzania katika sanaa na michezo.
Azma hiyo inalenga kuwapatia fursa vijana ya kujiendeleza kimaisha kupitia vipaji pamoja na kutimiza ndoto walizonazo katika sanaa.Kwa kushikilia taji la Miss Southern Afrika Internation Nelly anawajibu wa kutoa elimu kwa jamii juu ya saratani ya matiti na mfuko wa uzazi na atakuwa balozi wa nia njema wa mtandao wa saratani ya matiti na mfuko wa uzazi Zambia.
Aidha ushindi huo umempatia Nelly pamoja na zawadi mbalimbali mshahara wa kwacha millioni moja kwa mwezi kwa kipindi cha miezi kumi na minne.
Tuesday, July 5, 2011
....WEMA NA VITUKO JUKWAANI.....


Diamond akiwa kwenye hisia kali wakati wa show aliyoishusha mji kasoro bahari (Morogoro). Wema hakucheza mbali aliingia stejini kumpiga support wakati alipokuwa akiimba wimbo wa nitarejea. Wema kwa kujikimu yuko njema.....
Kama kawaida yake Wema anapoingia mahali haachi vituko! AAmeacha gumzo mjini Morogoro baada ya kupamda stejini na kuanza kuimba pamoja na boyfriend wake Diamond, lakini hiyo isingetosha kama angeondoka jukwaani bila kuachia wowowo lake mbele ya mashabiki…
......MWAMVITA MAKAMBA AULA VODACOM TANZANIA.....


Ms Mwamvita Makamba
----
Vodacom Tanzania has appointed Ms Mwamvita Makamba as the company’s Chief Officer: Marketing & Corporate Affairs.
Mwamvita Makamba holds a Masters Degree in Politics and International Relations from the University of Dar es Salaam and she has been with Vodacom for three years. She becomes the first woman to hold such a senior position in the company which started operations over ten years ago.
Under her new portfolio, Ms Mwamvita will look after Consumer and Business Marketing, Customer Relationship Management (CRM), Brand and Advertising, Corporate Communications, Corporate Social Responsibility (Vodacom Foundation), Sustainability and Stakeholder Relations for Vodacom Tanzania.
*This post makes her answerable directly to the company’s Managing Director, Dietlof Mare.
..............JOB OPPORTUNITY........


Labour Relations Officer
People Power Limited
Date Listed: 27/06/2011 Email Address: Click to Email
Phone: +255 752 124 124
Area: Dar Es Salaam
Application Deadline: 11/07/2011
Position Description:
The ideal candidate must have experience in handling labour matters. Previous experience of dealing with banks is preferred, but not compulsory.
Application Instructions:
Interested applicants should send their CV and Cover Letter to the Email Link above
Website: Go to Website
Monday, July 4, 2011
......SHINDANO LA KUMTAFUTA "MKALI WA KUPOZI".......BADO NAFASI ZIPO JIANDIKISHE MAPEMA.........


Shindano la kumtafuta "MKALI WA KUPOZI" limepamba moto, kama wewe ni msichana na unapenda mambo ya u-model tafadhari usisite kushiriki kwemye shindano hili....
KWA WASHIRIKI.
Tutaarifu ushiriki wako kwa kutuma email kwenda - wajanja.dar1@gmail.com
KWA WAFADHARI.
Kama ungependa kuwa mmoja kati ya wafadhari wa shindano hili ukarabishwa sana. wasiliana nasi kupitia email hii - wajanja.dar1@gmail.com
Siku ya kupiga picha kwa wale wote watakao chaguliwa kushiriki itakuwa taerhe 07.07.2011.....
.....NAPENDA KUJIMWAGIA - ANYA....


Mwanamitindo Anya ameuambia ulimwengu kuwa anapenda zaidi kunywa wine, habari za udaku zinadai kuwa anapenda kunywa wine hasa anapokuwa mapumzikoni au faragha. Alidai kuwa wine huwa zinamwongezea mzuka zaidi kwani hata ninapokuwa na appointment na mwanandani wangu napenda kunywa wine ili nipate mzuka zaidi wa kitandani. Alisema kuwa akinywa wine huwa anapandisha mzuka kitandani ile mbaya. Wine is my favourite.....Anya....
.....KIM KARDASHIAN NA MAANDALIZI YA HARUSI........


Mwanadada Kim amefunguka na kusema kuwa wakati wa harusi yake, magari ya kifahari ndiyo yatakuwa usafiri mkubwa kwa jamaa na ndugu zake siku hiyo. rafiki zake wa karibu na Kim wamedai kuwa mwanadada huyu anataka siku hiyo iwe ya pekee kwake na kwa mmewe, kwamba magari ya kifahari tu ndiyo yatakayo kuwepo siku hiyo. habari zinasema kuwa kunatarajiwa kuwa na magari ya kifahari zaidi ya 100. Mwana-udaku mmoja lisema kuwa magari yatakayokuwepo yanatarajiwa kuwa na gharama zaidi ya milioni 350 .....
.....UHUSIANO WA KIMAPENZI KATI YA RYAN NA JULIANNE WAZIDI KUNAWILI......


Juzi kati ulimwengu ulishuhudi na kuamini kuwa wapendao Ryan na GF wake Julianne wanapendana kwa dhati, haya yarijidhilisha wakati wa wapendanao hao walipokuwa mapumzikoni wakila maisha na kuvuta pumzi kwa raha zao huku kila mmoja akionyeshwa kutokuchoshwa na uwepo wa mwezi wake. Julianne ni mwanamitindo anayeaminika kuwa na umbo lenye mvuto ile mbaya......
..............JOB OPPORTUNITIES........


Regional Coordinator
University Research Co., LLC
Date Listed: 01/07/2011
Email Address: Click to Email
Phone: N/A
Area: Kagera
Application Deadline: 15/07/2011
Phone: N/A
Area: Kagera
Application Deadline: 15/07/2011
Position Description:
From: The Guardian, June 30, 2011
Qualifications
• Experience in implementing newborn and child health programs including community case management
• Track record working to improve planning, management and budgeting of community health services
• Expertise in public health data collection at the local level and strong monitoring and evaluation skills
• Experience in quality improvement
• Clinical expertise in malaria and pediatric medicine preferred
From: The Guardian, June 30, 2011
Qualifications
• Experience in implementing newborn and child health programs including community case management
• Track record working to improve planning, management and budgeting of community health services
• Expertise in public health data collection at the local level and strong monitoring and evaluation skills
• Experience in quality improvement
• Clinical expertise in malaria and pediatric medicine preferred
Application Instructions:
Interested applicants should send their CV and Cover Letter to the Email Link above or by post to:
The Chief of Party
URC
P O BOX 1403
Mwanza, Tanzania.
Website: Go to Web
Interested applicants should send their CV and Cover Letter to the Email Link above or by post to:
The Chief of Party
URC
P O BOX 1403
Mwanza, Tanzania.
Website: Go to Web
Accountant
University Research Co., LLC
Date Listed: 01/07/2011
Email Address: Click to Email
Phone: N/A
Area: Mwanza
Application Deadline: 15/07/2011
Phone: N/A
Area: Mwanza
Application Deadline: 15/07/2011
Position Description:
From: The Guardian, June 30, 2011
Requirements:
A professional accounting qualification (i.e. CPA/ACCA etc or equivalent and recognized by NBAA)
Job Description:
Timely booking and reporting of accounts monthly, quarterly and year end financial statement
From: The Guardian, June 30, 2011
Requirements:
A professional accounting qualification (i.e. CPA/ACCA etc or equivalent and recognized by NBAA)
Job Description:
Timely booking and reporting of accounts monthly, quarterly and year end financial statement
Application Instructions:
Interested applicants should send their CV and Cover Letter, to the Email Link above or by post to:
Chief of Party
University Research Co., LLC
P.O. Box 1403
Mwanza, Tanzania.
Website: Go to Website
Interested applicants should send their CV and Cover Letter, to the Email Link above or by post to:
Chief of Party
University Research Co., LLC
P.O. Box 1403
Mwanza, Tanzania.
Website: Go to Website
.....AY NI TAITI ILE MBAYA.......


Mwanamuziki AY (pichani) amesafiri kuelekea pande za Obama land kwenda kufanya mambo makubwa, AY ambaye anazidi kuiweka Tanzania kwenye ramani ya muziki duniani, ameelekea pande hizo kwenda kurekodi video ya wimbo wake alaipiga kolabo na Lili Romeo , mtoto wa Mater P. Habari zinasema kuwa AY katika video yake hiyo pia atamshirikisha na ccta Du wa Kimerkani aliyeshiriki klwenye video ya wimbo wa 50 cent.......
Saturday, July 2, 2011
.....WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI MITIHANI YAO MWAKA HUU WATEMBELEA BUNGE........


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa wananfunzi wa shule za sekondari waliofanya vizuri katika mtihani wa kidato cha sita baada ya kuwakabidhi vyeti na kuwatambulisha kwa wabunge mjini Dodoma leo Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Capt, George Mkuchika na Kushoto kwake Waziri wa Elimu, Utamaduni na Mafunzo ya Ufundi, Dr. Shukuru. …
.....JACKLINE WOLPER NA SAKATA LA WIZI WA MINI - DVD.........


LILE sakata la wizi wa mkanda (Min Dv Master) wa Filamu ya The God is Great kutoka Jijini Mbeya unaodaiwa kufanywa na mwanadada muigizaji wa filamu hapa nchini Jackline Wolper, inasemekana kuwa mhusika aliyefanya hivyo kwa makusudi ili aweze kujitengenezea mazingira ya kujipatia Fedha Milioni moja kwa njia tofauti na deni ambalo amekuwa akilinadi katika vyombo vya habari la kiasi cha Tshs. 400,000/= FC imegundua.
Katika hali ya kushangaza kama si kustaajabisha, msanii huyu aliongea na FC kwa njia ya Simu akijaribu kujitetea kuwa yeye hakuiba Mkanda wa filamu hii ya Kampuni ya Mbeya Film Production ya Jijini Mbeya bali alichukua mkanda huo kwa mpiga picha wa filamu hiyo baada ya kugundua kuwa uenda watayarishaji hawa wangeshindwa kumlipa fedha iliyobaki ambayo ni Tshs. 400,000/= jambo ambalo hakutakiwa kuwa na hofu nalo kwani tayari kulikuwa na ushahidi wa mkataba wa kimaandishi ambao leo tunauweka hadharani.
Katika hali ya kushangaza kama si kustaajabisha, msanii huyu aliongea na FC kwa njia ya Simu akijaribu kujitetea kuwa yeye hakuiba Mkanda wa filamu hii ya Kampuni ya Mbeya Film Production ya Jijini Mbeya bali alichukua mkanda huo kwa mpiga picha wa filamu hiyo baada ya kugundua kuwa uenda watayarishaji hawa wangeshindwa kumlipa fedha iliyobaki ambayo ni Tshs. 400,000/= jambo ambalo hakutakiwa kuwa na hofu nalo kwani tayari kulikuwa na ushahidi wa mkataba wa kimaandishi ambao leo tunauweka hadharani.
....kwa maelezo zaidi tembelea filamucentral......
......CRISTIANO RONALDO NA MCHUMBA MAMBO MOTOMOTO........


Mwanasoka Ronaldo na mchumba wake Irina Shyk (ambaye ni mwanamitindo maarufu duniani) wameendeleza kuponda raha kama sehemu ya mapumziko ya mwanasoka huyo. Habari zinasema kuwa Ronaldo alikuwa mwenye furaha tele wakati wote walipokuwa kwenye moja kati ya fukwe huko Portugal. Wakati wote kwa wawili hawa ulikuwa wa kucheza na kufurahi huku mabusu motomoto yakichukua nafasi yake, hata hivyo inasemekana wapenzi hawa walizidiwa wakiwa bichi kiasi cha kufikia hatua ya kudooo ndani ya maji....
..............JOB OPPORTUNITY........


Administrative Assistant
SOS Children Villages Zanzibar
Date Listed: 01/07/2011
Email Address: Click to Email
Phone: N/A
Area: Zanzibar
Application Deadline: 30/07/2011
Phone: N/A
Area: Zanzibar
Application Deadline: 30/07/2011
Position Description:
From: Daily News, June 30, 2011
Qualifications
Degree in Public Administration, Social Sciences or its equivalent At least 3 years of relevant professional experience, demonstrated by solid competencies in the field of office administration, secretarial and basic accounting
Knowledge of accounts, bookkeeping and petty cash register keeping
From: Daily News, June 30, 2011
Qualifications
Degree in Public Administration, Social Sciences or its equivalent At least 3 years of relevant professional experience, demonstrated by solid competencies in the field of office administration, secretarial and basic accounting
Knowledge of accounts, bookkeeping and petty cash register keeping
Application Instructions:
Interested applicants should send their CV, Cover Letter, Copies of relevant certificates, a passport size photo, driving license and names and contacts of 3 referees to the Email Link above or by post to:
Village Director
P O BOX 1923
Zanzibar
Website: Go to Websit
Interested applicants should send their CV, Cover Letter, Copies of relevant certificates, a passport size photo, driving license and names and contacts of 3 referees to the Email Link above or by post to:
Village Director
P O BOX 1923
Zanzibar
Website: Go to Websit
......R&B STAR TEAIRRA MARI GOES DANCEHALL WITH MR. VEGAS........


While J-Lo, Rihanna, and Bruno Mars have opted for Reggae and Dancehall inspired pop music tracks for their latest radio hits, Rhythm & Blues singer Teairra Mari boldly went to the core of Jamaica's music scene for the racy "Pum Pum Shorts" single. Dancehall superstar Mr. Vegas paired the pop music siren with Soul Train's Reggae Artist of the year Gyptian, for a drum and bass filled track that is 100% Dancehall. The "Pum Pum Shorts" video debuted on World Star Hip Hop on Friday, racking up over 5 million views in 3 days. "Pum Pum Shorts" will be available on iTunes in the coming weeks.
"Pum Pum Shorts," produced by Rohan 'Snowcone' Fuller, the mastermind behind Sean Paul's Billboard-topping platinum hit "Temperature," is a spicy single dedicated to what the urban dictionary defines as "extremely short shorts - short enough to be panties." The video features women of all shapes and sizes strutting their stuff in uber tiny shorts, with Mr. Vegas rapping "me love gyal inna pum pum shorts, look how it a show off them phat parts," while Teairra Mari, clad in tiny black leather shorts and dominatrix-style top sings "I put 'em on, you can take 'em off." The chorus, sung by Gyptian whose single "Hold Yuh" featuring Nicki Minaj peaked at #3 on Billboard Heatseekers chart in 2010, is reminiscent of the Screechy Dan and Red Fox 1991 street anthem "Pose Off."
Friday, July 1, 2011
........SIPENDI KUCHEZEWA MAKALIO......


Mwanamitindo Zakovia (pichani) amefunguka na kusema kuwa hapendi kuchezewa makalio yake, akifafanua zaidi amesema kuwa anajisikia vibaya sana mara mwanaume anapomshika makalio yake, mara zote nahisi kama kitendo hiki ni cha kihuni ile mbaya. Alifunguka zaidi kwa kusema kuwa vingine vyote nitamfanyia mwanaume wangu but asinichezee makalio yangu tu. Ni marufuku mwanaume kunichezea makalio yangu...
........MWANAMITINDO CHARLIE ALILIA PENZI..........


Habari zinasema kuwa Mwanamitindo Charlie Charles (pichani) anateswa na penzi la kijana mmoja wa Kireno. habari zinasema kuwa mwanamitindo huyu alitumiwa meseji kwa njia ya simu na mpenzi wake huyo akimwambia kuwa uhusiano wao u-stop kwa mda usiojulikana, baada ya kupata meseji hiyo mwanamitindo huyu alihaha kutafuta sababu ya kustopishwa kwa penzi lao bila mafanikio yoyote. Rafiki zake wa karibu na mwanamitindo huyu wanadai kuwa rafiki yao anaumizwa sana na uamuzi wa kijana huyu kwani alimpenda kwa moyo wake wote...
.......H.BABA NA MCHUMBA WAKE FLORA MVUNGI KUKIMBIZA NA FILAMU YAO YA TRAFIC PORI........


FILAMU kali na ya kusisimua Trafic Pori inatarajiwa kuletwa na Nyota wawili ambao kwa sasa ni wachumba, filamu hii iliyotungwa na Muigizaji na mwanamuziki mahiri wa muziki wa Bongo Fleva Bolingo Hamis Ramadhan Baba almaarufu kama H. Baba, inamshirikisha Nyota wa filamu hapa nchini Frola Mvungi ambaye ni Mchumba wa H.Baba, msanii huyu akiongea na FC amesema kuwa filamu hii ni hadithi inayoelezea maisha kwa ujumla na ni hadithi ya kipekee.
“Kwa kifupi filamu ipo tayari kila kitu, bali kuna mambo ambayo tunayasubiri kutoka upande wa pili yaani kutoka kwa Msambazaji wa filamu, humo bwana kuna waigizaji wakali kibao huku jahazi likishikwa na mimi mwenyewe na mama Frola, ni hatari si filamu ya kitoto bali ni moto wa kuotea mbali, maana unakutana na vipaji vya ukweli katika filamu ya ukweli” Anasema H. Baba.