Mwanamitindo Tessa ametoa mpya baada ya kuwaambia mashabiki wake kuwa akiwa Naked yuko bomba zaidi ya maelezo yenyewe. Mwanadada huyu ametoa mpya hiyo wakati alipokuwa kwenye mahojiano na studio moja ya radio nchini Marekani. Alisema kuwa ni zawadi kubwa sana kwa yeyote ambaye angebarikiwa kumuona akiwa Naked kwasababu anaamini kuwa yuko bomba zaidi ya maelezo yake... Namshukuru mungu kuwa aliniumba nikaumbika. hata hivyo wadau wa mambo wanadai kuwa mwanadada huyu ni kati ya wasichana wenye mvuto wa pekee na aliyeumbika akakamilika....
0 comments:
Post a Comment