Mwanamuziki AY (pichani) amesafiri kuelekea pande za Obama land kwenda kufanya mambo makubwa, AY ambaye anazidi kuiweka Tanzania kwenye ramani ya muziki duniani, ameelekea pande hizo kwenda kurekodi video ya wimbo wake alaipiga kolabo na Lili Romeo , mtoto wa Mater P. Habari zinasema kuwa AY katika video yake hiyo pia atamshirikisha na ccta Du wa Kimerkani aliyeshiriki klwenye video ya wimbo wa 50 cent.......
0 comments:
Post a Comment