Saturday, July 2, 2011

.....WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI MITIHANI YAO MWAKA HUU WATEMBELEA BUNGE........


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa wananfunzi wa shule za sekondari waliofanya vizuri katika mtihani wa kidato cha sita baada ya kuwakabidhi vyeti na kuwatambulisha kwa wabunge mjini Dodoma leo Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Capt, George Mkuchika na Kushoto kwake Waziri wa Elimu, Utamaduni na Mafunzo ya Ufundi, Dr. Shukuru.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms