Wednesday, July 6, 2011

....REDDS MISS TEMEKE 2011 MAMBO MOTOMOTO.....................

Warembo wakiwa kwenye mazoezi ya shoo yaufunguzi kwenye kambi ya mazoezi yao jijini Dar.
 
Baadhi ya warembo wanaowania taji la Redds Miss Temeke 2011 linalotarajiwa kufanyika Julai 16 mwaka huu katika ukumbi wa TCC Chango’mbe wakiwa katika pozi kwenye kambi ya mazoezi yao jijini Dar.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms