Diamond akiwa kwenye hisia kali wakati wa show aliyoishusha mji kasoro bahari (Morogoro). Wema hakucheza mbali aliingia stejini kumpiga support wakati alipokuwa akiimba wimbo wa nitarejea. Wema kwa kujikimu yuko njema.....
Kama kawaida yake Wema anapoingia mahali haachi vituko! AAmeacha gumzo mjini Morogoro baada ya kupamda stejini na kuanza kuimba pamoja na boyfriend wake Diamond, lakini hiyo isingetosha kama angeondoka jukwaani bila kuachia wowowo lake mbele ya mashabiki…
0 comments:
Post a Comment