Mwanasoka Ronaldo na mchumba wake Irina Shyk (ambaye ni mwanamitindo maarufu duniani) wameendeleza kuponda raha kama sehemu ya mapumziko ya mwanasoka huyo. Habari zinasema kuwa Ronaldo alikuwa mwenye furaha tele wakati wote walipokuwa kwenye moja kati ya fukwe huko Portugal. Wakati wote kwa wawili hawa ulikuwa wa kucheza na kufurahi huku mabusu motomoto yakichukua nafasi yake, hata hivyo inasemekana wapenzi hawa walizidiwa wakiwa bichi kiasi cha kufikia hatua ya kudooo ndani ya maji....
0 comments:
Post a Comment