Monday, July 4, 2011

.....UHUSIANO WA KIMAPENZI KATI YA RYAN NA JULIANNE WAZIDI KUNAWILI......

Juzi kati ulimwengu ulishuhudi na kuamini kuwa wapendao Ryan na GF wake Julianne wanapendana kwa dhati, haya yarijidhilisha wakati wa wapendanao hao walipokuwa mapumzikoni wakila maisha na kuvuta pumzi kwa raha zao huku kila mmoja akionyeshwa kutokuchoshwa na uwepo wa mwezi wake. Julianne ni mwanamitindo anayeaminika kuwa na umbo lenye mvuto ile mbaya......

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms