Monday, July 4, 2011

.....NAPENDA KUJIMWAGIA - ANYA....

Mwanamitindo Anya ameuambia ulimwengu kuwa anapenda zaidi kunywa wine, habari za udaku zinadai kuwa anapenda kunywa wine hasa anapokuwa mapumzikoni au faragha. Alidai kuwa wine huwa zinamwongezea mzuka zaidi kwani hata ninapokuwa na appointment na mwanandani wangu napenda kunywa wine ili nipate mzuka zaidi wa kitandani. Alisema kuwa akinywa wine huwa anapandisha mzuka kitandani ile mbaya. Wine is my favourite.....Anya....

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms