Habari zinasema kuwa Mwanamitindo Charlie Charles (pichani) anateswa na penzi la kijana mmoja wa Kireno. habari zinasema kuwa mwanamitindo huyu alitumiwa meseji kwa njia ya simu na mpenzi wake huyo akimwambia kuwa uhusiano wao u-stop kwa mda usiojulikana, baada ya kupata meseji hiyo mwanamitindo huyu alihaha kutafuta sababu ya kustopishwa kwa penzi lao bila mafanikio yoyote. Rafiki zake wa karibu na mwanamitindo huyu wanadai kuwa rafiki yao anaumizwa sana na uamuzi wa kijana huyu kwani alimpenda kwa moyo wake wote...
0 comments:
Post a Comment