Friday, July 1, 2011

........ASHLEE SIMPSON ADAKWA NA NJEMBA JIPYA......

Mwanamuziki Ashlee Simpson, inasemekana kuwa si mtaalamu wa nyimbo tu bali pia ni mzuri wa kuutumia mdomo wake kwa Romance. Juzi kati mwanauziki huyu alikutwa akila raha katika jiji la Los Angeles na dume jipya. Wakati wote mwanadada huyu alionekana mwenye furaha na akila romance kwa kwenda mbele..

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms