Friday, July 1, 2011

........SIPENDI KUCHEZEWA MAKALIO......

Mwanamitindo Zakovia (pichani) amefunguka na kusema kuwa hapendi kuchezewa makalio yake, akifafanua zaidi amesema kuwa anajisikia vibaya sana mara mwanaume anapomshika makalio yake, mara zote nahisi kama kitendo hiki ni cha kihuni ile mbaya. Alifunguka zaidi kwa kusema kuwa vingine vyote nitamfanyia mwanaume wangu but asinichezee makalio yangu tu. Ni marufuku mwanaume kunichezea makalio yangu...

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms