Saturday, July 2, 2011

.....JACKLINE WOLPER NA SAKATA LA WIZI WA MINI - DVD.........

LILE sakata la wizi wa mkanda (Min Dv Master) wa Filamu ya The God is Great kutoka Jijini Mbeya unaodaiwa kufanywa na mwanadada muigizaji wa filamu hapa nchini Jackline Wolper, inasemekana kuwa mhusika aliyefanya hivyo kwa makusudi ili aweze kujitengenezea mazingira ya kujipatia Fedha Milioni moja kwa njia tofauti na deni ambalo amekuwa akilinadi katika vyombo vya habari la kiasi cha Tshs. 400,000/= FC imegundua.

Katika hali ya kushangaza kama si kustaajabisha, msanii huyu aliongea na FC kwa njia ya Simu akijaribu kujitetea kuwa yeye hakuiba Mkanda wa filamu hii ya Kampuni ya Mbeya Film Production ya Jijini Mbeya bali alichukua mkanda huo kwa mpiga picha wa filamu hiyo baada ya kugundua kuwa uenda watayarishaji hawa wangeshindwa kumlipa fedha iliyobaki ambayo ni Tshs. 400,000/= jambo ambalo hakutakiwa kuwa na hofu nalo kwani tayari kulikuwa na ushahidi wa mkataba wa kimaandishi ambao leo tunauweka hadharani.
....kwa maelezo zaidi tembelea filamucentral......

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms