Monday, July 4, 2011

.....KIM KARDASHIAN NA MAANDALIZI YA HARUSI........

Mwanadada Kim amefunguka na kusema kuwa wakati wa harusi yake, magari ya kifahari ndiyo yatakuwa usafiri mkubwa kwa jamaa na ndugu zake siku hiyo. rafiki zake wa karibu na Kim wamedai kuwa mwanadada huyu anataka siku hiyo iwe ya pekee kwake na kwa mmewe, kwamba magari ya kifahari tu ndiyo yatakayo kuwepo siku hiyo. habari zinasema kuwa kunatarajiwa kuwa na magari ya kifahari zaidi ya 100. Mwana-udaku  mmoja lisema kuwa magari yatakayokuwepo yanatarajiwa kuwa na gharama zaidi ya milioni 350 .....

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms