Shindano la kumtafuta "MKALI WA KUPOZI" limepamba moto, kama wewe ni msichana na unapenda mambo ya u-model tafadhari usisite kushiriki kwemye shindano hili....
KWA WASHIRIKI.
Tutaarifu ushiriki wako kwa kutuma email kwenda - wajanja.dar1@gmail.com
KWA WAFADHARI.
Kama ungependa kuwa mmoja kati ya wafadhari wa shindano hili ukarabishwa sana. wasiliana nasi kupitia email hii - wajanja.dar1@gmail.com
Siku ya kupiga picha kwa wale wote watakao chaguliwa kushiriki itakuwa taerhe 07.07.2011.....
0 comments:
Post a Comment