Thursday, January 26, 2012

........RAY AJIPANGA KUBORESHA KAZI ZAKE.......
MSANII wa filamu nchini Ray amefunguka na kusema kuwa amejipanga vyema kuboresha kazi zake. Kwa kukazia hayo Ray alisema kuwa kwasasa yuko nchini China kununua mitambo ya ya kufa mtu itakayosaidia kuboresha filamu zake. Alisisitiza kuwa kwa kuanzia wadau wa filamu wajiandae kuona filamu yake anayotegemea kufyatua hivi karibuni

1 comments:

priss said...

ninakukubali ila hiyo carolight achana nayo kabisa!!! au unaogopa utakuwa mweusi kama chungu???????

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms