Tuesday, June 14, 2011

....J.LO AWA MBOGO, AZUIA MKANDA WAKE WA NGONO KUSAMBAZWA.....

MWANAMUZIKI Jennifer Lopez amefanikiwa kumzuia mumewe wa zamani kusambaza mkanda wao wakifanya mapenzi wakati walipokuwa kwenye ndoa. Lopez, ambaye ni maarufu kwa jina la J.Lo alitinga mahakamani na maombi yake yalikubaliwa.
Mumewe huyo wa zamani Ojani Noa anataka kuuza kanda hiyo waliyorekodi wakati wako kwenye fungate ya harusi yao.
Noa anafanya dili ya kusambaza mkanda huo na mpenzi wake wa sasa, Claudia Vazquez.
Mwanasheria wa Vazquez alithibitisha walikuwa na mpango wa kupiga mnada kanda hiyo kwenye tovuti zinazoonyesha picha za ngono.
"Vazquez ataheshimu amri ya mahakama," alisema mwanasheria Armenta.

1 comments:

Anonymous said...

huu ni uthalilishaji kabisa yaani huyo mwanaume akamatwe naye afungwe ikiwa kama mbadala ya uthalilishaji.

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms