Hannibal gaddafi akiwa na mkewe za uhai wake, mwanamitindo Aline Skaf kwenye moja kati ya nyumba zake
Hannibal enzi za uhahi wake akiponda maisha na mkewe mwanamitindo Aline Skaf,
Aline Skaf,
Beyonce akiperfom nyumbani kwa Hannibal Gaddafi kwenye sikukuu ya mwaka mpya baada ya kualikwa na Hannibal. Inaaminika kuwa Hannibal alimlipa Beyonce kiasi cha zaidi ya bilioni tatu. Enzi za uhai wake Hannibal alikuwa mtu wa kujichanganya kwenye kumbi za starehe ile mbaya na inaaminika kuwa alikuwa sharobaro wa kufa mtu.
0 comments:
Post a Comment