Monday, July 11, 2011

......TIGO YAZINDUA "TIGO CHANGIA ELIMU"......

Ofisa Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando (kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Tigo Tuchangie yenye lengo la kuchangia elimu jijini Dar es Salaam.





Baadhi ya wafanyakazi wa timu ya mauzo wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, wakishikilia vipeperushi  wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Tigo Tuchange yenye lengo la kuchangia elimu jijini Dar es Salaam. Tigo itatumia fedha itakayopatikana kwa wateja wake walionunua muda wa hewani kwa kupitia huduma ya Tigo Rusha kati ya saa tatu hadi nne asubuhi katika siku hiyo ya kuchangia maendeleo ya elimu nchini.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms