Msanii machachari wa kike nchini Mainda, amefunguka na kusema kuwa anamkubali mwigizaji Irene Uwoya kuliko msanii yoyote wa kike nchini. Mainda alisema haya wakati alipokuwa kwenye mahojiano na moja kati ya redio maarufu nchini. Akijibu swali la mtangazaji ambalo alitakiwa kumtaja msanii anayemkubali zaidi nchini, Mainda alisema kuwa anamkubali sana Irene Uwoya kwa kuwa yuko serious na kazi yake, pia Mainda alidai kuwa ana uhakika na anchokisema kwakuwa ameisha wahi kufanya kazi na Irene Uwoya...
2 comments:
kumbe uko kama mimi mainda ata mimi namkubali sana uwoya
ata mimi namkubali uwoya
Post a Comment