Monday, June 6, 2011

......MREMBO MELYSSA FORD AWASHA MOTO......


Habari kutoka nchini Marekani zinadai kuwa Mrembo Melyssa Ford amewasha moto mwingine kwenye vyombo vya habari akidai kuwa asifuatiliwe maisha yake binafsi na vyombo vya habari. Akifafanua zaidi Melyssa alidai kuwa anachukizwa sana na kitendo cha vyombo vya habari kufuatilia mahusiano yake ya malavidav, Ikitokea ugomvi kidogo tu na mwenzangu vyombo vya habari vinakimbilia kuandika lakini tukipatana wala hawahangaiki kuandika chochote. Mfano juzi kati kati tulipishana kidogo na mpenzi wangu vyombo vyoote viliandika habari hii. Naomba mjue kuwa mnaosubiri mimi na mpenzi wangu (Jamez) tuachane ili muandike msahau kabisa. Inasemekana kuwa Melyssa ana mzimikia sana mpenzi wake huyu (Jamez) ambaye inasemekana kuwa ni shalobaro wa nguvu nchini Marekani. 

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms