Washiriki wa Shindano la Kimwana wa Twanga Pepeta 2011 wameiva na wako tayari kwa ajili ya Fainali za Kimwana wa Twanga Pepeta 2011 zinazotarajiwa kufanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza Ijumaa tarehe 08-07-2011.
Baadhi ya washiriki walioingia kumi bora katika shindano la Kimwana wa Twanga Pepeta 2011, kutoka kushoto ni Johari Juma, Amanda Cyprian, Rehema Said, Mariam Mwakyoma na Amina Juma.
Vimwana hao ambao wameongezewa Mwalimu wa kuwafundisha kucheza ili waweze kufanya vizuri katika Fainali za Shindano hilo. Hapo awali walikuwa wakifundishwa na Kassim Mohammed au “Super K” lakini kwa sasa wameongezewa mwalimu atakayesaidiana naye ambaye ni Bakari Kisongo aka “Mandela”.

9:26 AM
wajanjaclub

0 comments:
Post a Comment