MUIGIZAJI mahiri wa filamu kwa hapa nchini Jackline Wolper (pichani) yupo Jijini Mbeya katika kurekodi filamu kali na ya kusisimua inayojulikana kwa jina la God is Great kutoka kampuni ya utayarishaji wa filamu mkoani humo ya Mbeya Film Production, Jack akiwa na wasanii wengine kutoka jijini Dar es Salaam tayari ameshafanikiwa kurekodi baadhi ya scene za filamu hiyo na kuikubali hadithi hiyo jinsi ilivyotungwa. Jackline ansema kuwa kila atakayeiona filamu hiyo lazima amkubali kwani ameicheza vizuri sana....
0 comments:
Post a Comment