Thursday, June 16, 2011

..BAMBO APATA AJALI MBAYA....

Msanii na Muigizaji Maarufu wa Maigizo nchini Tanzania na Mmoja wanaounda kundi la Ze Comedy ShowDickson Makwaya aka Bambo, amepata ajali jana usiku pande za Kigogo Round About akiwa kwenye pikipiki aka bodaboda wakati anakwenda home kwake Kigogo-Darajani na waligongwa na daladala aina ya coaster na amevunjika mfupa wa paja na kupata majeraha kichwani na mkononi ila dereva hali yake taabani kidogo na kwa sasa Bambo yuko MOI akisubiri kufanyiwa upasuaji

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms