Friday, May 20, 2011

....UZINDUZI WA TAMASHA LA ZIFF BABU KUBWA..... UZINDUZI WAFANYIKA RASMI USIKU WA KUAMKIA LEO.......

 Meneja wa Tamasha la ZIFF (Daniel Nyalusi) Akifafanua jambo mbele ya wadau mda mfupi baada ya uzinduzi rasmi wa Tamasha hilo.

 Meneja wa Bia ya Tusker ambao ndio wadhamini wakuu wa Tamasha la ZIFF (Rita Mlaki) Akizungumza wakati wa  uzinduzi wa Tamasha la ZIFF.

 A.Y akiwa amepozi na msahabiki wake (Ahmed)

 Mapozi ya picha yakisongeshwa mbele

Halooooo!!! watu kibao walimwagika ukumbini

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms