Monday, May 30, 2011

....DK. BILALI AHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA RAISI WA NIGERIA........

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na mkewe Mama Zakia Bilal, kuelekea Uwanja wa Igol Square, kuhudhuria Sherehe za kuapishwa Rais mpya wa Nigeria, Dkt. Goodluck Ebele Azikiwe Jonathan, aliyeapishwa jijini Abuja Nigeria.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal na Mkewe Mama Zakia Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Mahadhi Juma Maalim kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa kwanaza wa Rais Zanzibar, Fatuma Fereji, kabla ya kuelekea Uwanja wa Igol Square, kuhudhuria Sherehe za kuapishwa Rais mpya wa Nigeria, Dkt. Goodluck Ebele Azikiwe Jonathan, aliyeapishwa jijini Abuja Nigeria.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms