Wednesday, April 27, 2011

.....SHEREHE ZA MIAKA 47 YA MUUNGANO ZAFAANA.....

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia mke wa muasisi wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar Mama Fatma Karume.
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na amiri jeshi mkuu akiukagua gwaride lilioandaliwa na jeshi la ulinzi la Wananchi wa Tanzania JWTZ katika uwanja wa michezo wa Amaan wakati wa shrehe za miaka 47 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea heshima na kupigiwa mizinda 21 mara tu alipowasili katika uwanja wa michezo wa Amaan mjini unguja kuongoza hsrehe za miaka 47 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo asubuhi
Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein  muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa Michezo wa Amaani mjini Unguja kuongoza sherehe za  miaka 47 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms