Tuesday, October 9, 2012

...WAREMBO WA MISS TANZANIA WAIVAMIA MONDULI..... WADHAMIRIA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO.......

Baadhi ya wadau waliohudhuria tafrija hiyo
Warembo wakiwa kwenye pozi

Viongozi wa kamati ya Miss Tanzania


Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Regina Lowasa akicheza mziki wa Kwaito na Warembo wanaoshiriki shindano la Redds  Miss Tanzania 2012, wakati wa tafrija maalum ya kuwakaribisha warembo hao katika mji wa Monduli jana mkoani Arusha. Warembo wa Redds  Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo


Washiriki wa Redds Miss tanzania 2012 wakiwa katiak picha tofauti tofauti wakati wakiwa katika eneo la Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro KINAPA.

Warembo wakizungumza na mmoja wa Wasaidizi wa watalii wanao panda mlima Kilimanjaro. Warembo wakiwa wamekaa na mavazi yao yimasaai

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms