Friday, October 5, 2012

WADAU MPOOOOO!!!........KWA WADAU WOTE WA WAJANJA BLOG.....BLOG YA KIJANJA NDANI YA JIJI LA DSM......

Kwa niaba ya crew nzima ya wajanja blog, nachukua fursa hii kuwaomba radhi wadau wetu wote kwa kutokuwa hewani kwa siku kadhaa. Hii ni kwa sababu ya miingiliano ya majukumu ya kikazi, hata hivyo kwa nafasi hii hii ningependa kuwajulisha wadau wetu wote kuwa sasa tumerudi hewani kwa kasi, ari na nguvu mpya. Kama mjuavyo mtegemee kupata habari motomoto ndani ya blog yenu ya kijanja, habari na burudani zetu huwezi kuzipata sehemu nyingine zaidi ya hapahapa wajanja blog. Halikadhalika bila ya kusahau vionjo vya kutosha kutoka kwa crew nzima ya hot models wetu in town.
WAJANJA MANAGEMENT

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms