Saturday, October 13, 2012

..........THE DREAM KWA HILI SIKUBALIANI NA WEWE.....

MWANDISHI wa nyimbo maarufu, The Dream, ametoa kali ya mwaka baada ya kujitetea kuwa hashiriki katika malezi ya binti yake, Violet aliyezaa na mwanamuziki, Christina Millian kisa yupo bize akikamilisha ndoto za wanamuziki wanaotaka kutoka.

The Dream ambaye ni mwandishi wa nyimbo maarufu duniani kama 'Baby' ya Justin Bieber, 'Single Ladies' ya Beyonce, 'Umbrella' ya Rihanna na nyingine, amezodolewa kwa kushindwa kuwapaisha wanawake waliomzalia watoto.

Nive na Millian ni miongoni mwa wasanii ambao nyota yao imefifia, lakini hawa wote wamezaa na The Dream ambaye sasa anasema yuko bize kuwaandikia nyimbo wasanii wengine.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms