Wednesday, October 17, 2012

........COMEDY INAHITAJI KIPAJI MAZEEE.....

MCHEKESHAJI aliyeshika kasi katika fani ya comedy hapa Tanzania, Kitale, akiongea na NASI amesema kuchekesha ni kipaji na si kukurupuka, akitolewa utofauti kuwa scenes hizo si kama scenes nyingine za maigizo  ambapo mtu anaweza kufanya kwa kupewa maelekezo yaliyo kwenye makaratasi.

Asema kuwa watu wengi wanaamini kufanya comedy ni kazi rahisi ya kukaa mbele ya kamera lakini kumbe ni kazi ambayo inahitaji kipaji cha hali ya juu sana. Alisema kuwa kumfanya mtu hadi akahisi kuwa na hisia ya kitu fulani au kucheka si kazi ndogo na ndiyo maana wasanii wengi wa comedy ni wenye vipaji na comedy films zinakubalika sana sokoni.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms