Saturday, October 13, 2012

....CHRIS BOWN AMNYATIA UPYA KARRUECHE........


VISHINDO vya kumwacha, Karrueche Tran, vimemtokea puani Chris Brown kwani sasa inadaiwa anakesha kwenye simu akimlazimisha mwanamitindo huyo warudiane.

Inadaiwa kuwa Brown anahaha kumtumia meseji mwanamke huyo ili warudiane lakini Karrueche ameweka msisitizo kuwa anahitaji mwanamume na si kijana.

Baada ya kutangaza kuachana, Brown inadaiwa alimpa pesa nyingi mwanamke huyo ili akatafute nyumba ya kuishi na sasa hajui wapi mrembo huyo alipojichimbia.

Chanzo cha Chris kutaka kumrudia Karrueche kinadaiwa ni ushauri wa watu wa karibu ambao wanamwambia kuwa hatawezana na Rihanna.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms