Thursday, September 6, 2012

......MERCY ACHEKELEA PENZI JIPYA......

NYOTA wa Nollywood, Mercy Johnson amekiri kufurahia maisha kwa sasa. Dada huyo anafurahia penzi jipya la Ayo Makun maarufu kama 'Ayas'.
Rafiki wa karibu wa Mercy amesema kuwa mwanamke huyo kwa sasa anafurahia maisha ingawa haijafahamika iwapo ataishi na mwanaume huyo au la.
"Kila mara anapokuwa na mwanaume huyo huwa wanacheka tu, nadhani wamepatana sana," alisema mtu huyo.
Ayas ambaye ni mwigizaji wa filamu za vichekesho pia alimshirikisha Mercy katika filamu yake mpya iitwayo 'AY Crib'. Filamu hiyo itakuwa hewani Oktoba Mosi mwaka huu.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms