Wednesday, August 15, 2012

.....WATU WANANICHUKULIA POUWA LAKINI NATISHA......

JOAN Philipo amejigamba kuwa pamoja na udogo wake, ataliteka soko la filamu kwa sababu amejipanga kufanya kazi tena kwa nguvu moja.

Ninaamini kuwa haya ndio maisha yangu na ili kudumu katika tasnia ya filamu, ni lazima niwe makini. Najua kila mtu kwa sasa anatamani kuigiza na kuwa nyota," alisema.

"Watu wanapenda kuandikwa sana katika vyombo vya habari, lakini kwangu si hivyo niandikwe kwa ajili ya kazi, nia yangu nikuwapoteza wakongwe wote waliopo katika fani."

Msanii huyo mwenye umri mdogo anajivunia kuwa miongoni mwa wasanii walioibuliwa na mwigizaji na mwongozaji wa filamu za Swahiliwood, Rose Ndauka, na anasema alipata urahisi wa kuigiza kwa sababu filamu yake ya kwanza kuigiza aliongozwa na mwanamke.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms