Saturday, August 11, 2012

......UFYATU WA LADY GAGA NI BURUDANI KWA WALINZI WAKE....

STAA wa muziki wa POP, Lady Gaga, anasema kuna wakati huwa anatembea uchi kabisa, lakini anawashukuru walinzi wake kwa kuificha siri hiyo.

Gaga anasema huwa anatamani kufanya mambo yasiyo ya kawaida na unapofika wakati huo ndipo anapogundua kuwa walinzi wake wanampenda kwani hawajawahi kumwangusha.

"Walinzi wangu wananipenda sana, hawajawahi kuniacha niaibike ninapotembea uchi. Hapo ndiyo huwa nayaona makali yao, hawaruhusu hata mende akatize katika eneo ninalokuwapo," anasema.

"Wakati mwingine huwa natoka na mpenzi wangu na tunakwenda ufukweni kufanya mambo yetu yale, lakini huwa inabaki baina yetu, nawapenda sana walinzi wangu."

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms