Tuesday, July 3, 2012

......NDOA YA HUDSON HAKUNAGA.....


STAA, Jennifer Hudson na mpenzi wake David Otunga, wamesitisha mchakato wa harusi yao wakisubiri 'upepo mbaya' upite.

Hudson anasema tangu alipochumbiwa na Otunga mwaka 2008, mikosi imekuwa ikiiandama familia yake vikiwamo vifo vya mama, kaka na binamu yake vilivyofanywa na mume wa dada yake.

Mwanamuziki huyo alipanga kufunga ndoa na Otunga hivi karibuni, lakini wakati ukikaribia shemeji yake alipatikana na hatia ya mauaji hayo kitu kilichomrudisha tena kwenye msiba.

Wawili hao wamekubaliana kuwa watafunga ndoa pale majonzi yatakapopungua katika familia, kwani sasa haiwezi kuwa harusi bali msiba.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms