Wednesday, July 25, 2012

........KIM KARDASHIAN ATAMANI KUZAA.....

MWANAMITINDO Kim Kardashian anataka kuzaa na mwanamuziki Kanye West.

Kardashian inadaiwa katika siku za karibuni amekuwa na mchecheto wa kupata mtoto.

Wapenzi hao wawili katika siku za karibuni inasemekana wamezungumzia suala la kupata mtoto.

Kardashian, hata hivyo, atatekeleza azma hiyo baada ya kumaliza suala lake la talaka na mumewe Kim Humphries.

Mrembo huyo, alianza uhusiano na Kanye West baada ya kuishi katika ndoa na Humphries kwa siku 72 t

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms