Thursday, July 19, 2012

.........HAKUNA RAFIKI WA KWELI NOLLYWOOD.....

HALIMA Abubakar amedai kuwa hakuna rafiki wa kweli Nollywood kwavile kuna watu wenye wivu na mambo yasiyofaa na amekwenda mbali zaidi alipokanusha kwamba hakuchapana ngumi na Tonto Dikeh.

"Sijawahi kupigana naye, nimeona tu kwenye magazeti hata sielewi. Hatujawahi kukunjana."

Alisisitiza kuwa wala hana marafiki Nollywood; "Kwangu rafiki ni mtu niliekaa naye kwa karibu miaka kumi au niliyekua naye tangu utotoni.

Naamini kwamba hakuna rafiki wa kweli Nollywood kwavile huwa wanajawa na wivu baada ya kipindi fulani."

"Wengi wao hawataki kuona ukipanda kimaendeleo,"alisema Halima.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms