PICHA JUU NA CHINI NI PRINCES GETRUDE
Ni msanii chipukizi anyeivamia tasnia ya
filamu nchini kwa kasi mpya, nguvu mpya na ujuzi mpya. Kwa jina muite Princess Getrude, ambaye pia ni “Hot
model in town wa blog hii. Kwa ujumla msanii huyu chipukizi amedhamiria kuleta
mapinduzi kwenye kiwanda cha sanaa nchini. Ni binti mpole na asiyekuwa na
makuu. Mrembo huyu amefunguka na mwandishi wa blog hii na kuweka pleini kuwa
kuanzia next wiki ataanza shooting ya filamu yake mpya na dondoo zote za filamu
yake na maandalizi kwa ujumla utayapata kupitia blog hii. Hata hivyo ameahidi
kutupa jina la filamu yake ASAP.
0 comments:
Post a Comment