Friday, June 1, 2012

......HAPENDWI MTU BILA PESA.....


LIZZY Anjorin amedai kuwa hakuna mwanaume Mnigeria mwenye mapenzi kwa msichana asiye na kitu.

"Lakini Nigeria siku hizi hakuna mapenzi bila fedha, hata kama ni msichana mdogo. Kama hauko vizuri kiuchumi hakuna mwanaume atakutaka,

watakaa mbali na wewe au watakuchezea wakuache hapo na maisha yako," alisema.

"Wanataka kuoa wanawake wa familia tajiri, hawana muda wa kuwajenga kiuchumi wanawake zao wenyewe.

"Wanaume wa hapa wamekuwa watu wakutaka mteremko sana, wanataka kuvuna vitu ambavyo hawajapanda.
"
Alipoulizwa endapo yupo tayari kurudiana na mwanaume aliyezaa naye binti yake wa miaka 15 alisema: "Amechelew

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms