Thursday, June 14, 2012

.......BENITA ATUPA PETE CHOONI.....


BENITA Nzeribe, amekiri kwamba alitupa chooni pete yake ya uchumba baada ya kutendwa na mwanaume aliyepanga kufunga naye ndoa.

"Niliumia sana nikaamua kutupa ile pete chooni ili nimsahau kabisa, alinikera sana. Sasa hivi nina raha sana na ninaishi maisha yangu ninavyotaka," alisema.

"Nilifanya makosa na huo ulikuwa ni wakati uliopita sasa nimeshafungua maisha mapya."

Msanii huyo amedai kuwa hataweka wazi uhusiano wake mpya mpaka ajiaminishe kwamba sasa ametulizwa na hawezi

kuumizwa, huku akidai kwamba marafiki wengi wa Nollywood ni wanafiki na wachochezi wa ndoa za watu.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms