Wednesday, May 9, 2012

....UKIOLEWA UJUE IMEKULA KWAKO.....


SHAN George amewaasa wasioolewa kutoingia kwenye ndoa kwa kukurupuka akisema wanaweza kujuta kama ilivyowahi kumtokea yeye alipoolewa akiwa na miaka 15.

"Siwashauri kabisa kuingia kwenye ndoa wakiwa na umri mdogo, mambo yatakuwa magumu kwao. Ukweli ni kwamba ukiingia kwenye ndoa mapema kuna madhara makubwa kisaikolojia," alisema.

"Kwanza, unakuwa na mambo ya kitoto sana ambayo yanakufanya usifanye maamuzi sahihi, uwezo wako wa kuchanganua vitu unakuwa ni mdogo.
"Siwezi kumshauri mtu yeyote aingie kwenye haya mahusiano akiwa na umri mdogo."

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms