Monday, May 14, 2012

....NDOTO ZA JAY Z ZAENDELEA KUMTESA RITA.....


MWANAMUZIKI, Rita Ora, amesema bado haamini kama anafanya kazi chini ya rapa nguli, Jay Z kutokana na historia ya familia yake ambayo ilikimbilia nchini Uingereza.

Ora ambaye ni mkimbizi kutoka Kosovo, anasema siku ya kwanza alipokutana na Jay Z, moyo wake ulisimama kwa muda kutokana na woga.

Msanii huyo ambaye anafanya kazi chini ya lebo ya Jay Z, Roc Nation, anasema ilikuwa ndoto yake kufanya kazi na msanii mkubwa duniani, lakini hakuwahi kufikiria kama rapa huyo angeweza kuwa bosi wake.

Ora alikutana na Jay Z baada ya kumpa kazi zake msaidizi wa Jay Z aliyetembelea London. Baada ya siku kadhaa alipigiwa simu aende New York kukutana na uongozi wa Roc Nation kwa ajili ya kumsikia akiimba Live.

Binti huyo mwenye umri wa miaka 21, anasema alipoingia ndani alikutana ana kwa ana na Jay Z aliyekuwa akimsubiri.
Anasema mshituko alioupata hatausahau maishani mwake kwani hakutegemea

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms