Thursday, May 3, 2012

.......MSITUOGOPE JAMANI, HAYO TUANYAOIGIZA SI MAISHA YETU HALISI......


MAPACHA wa Nollywood, Chidiebere na Chidinma Aneke wamewaomba watoto wasiwakimbie wanapowaona mitaani kwa vile wanachoigiza kwenye runinga si maisha yao halisi.

Wasanii hao wamedai kuwa ni watoto wachache sana ambao wamekuwa wakithubutu kuwasogelea kwani wamekuwa wakidhani kwamba wana roho mbaya na wakatili kwa watoto kama walivyofanya katika baadhi ya filamu zao.

"Watoto hawataki kabisa kuamini kwamba sisi ni marafiki zao. Hawaamini kwamba yale ni maisha ya kufoji, wakituona wanakimbia na kudhani ni wauaji. Inakuwa vigumu sana msanii unavyoigiza kama mtu mwenye roho mbaya, jamii inakutafsiri tofauti.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms