Tuesday, April 10, 2012

......WATU ZAIDI YA ELFU 40 WAMZIKA KANUMBA, WEMA AZIMIA BAADA YA KUONA JENEZA LA HAYATI KANUMBA.........

Wema sepetu muigizaji na aliekuwa ex-girlfriend wa hayati Steven Kanumba alizimia baada kuona jeneza la Kanumba likielekea makaburini leo hii mchana,kinondoni Dar.0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms