Tuesday, April 10, 2012

........ KATIKA PICHA NI MATUKIO WAKATI WA KUAGA MWILI WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA ...... MAKAMU WA RAISI AONGOZA WAOBOLEZAJI.......Mdogo wa Marehemu Kanumba akiwasili viwanjani hapo.

 msafara wa Makamu wa Rais.
 Viongozi mbali mbali wapo kwenye shughuli hii ya kumuaga marehemu Steveen Kanumba.


 Mdau Athuman Khamis pia amehudhulia shughuli hii.
Dada wa Marehemu Kanumba akisaidiwa kubebwa mara baada ya kuishiwa nguvu wakati akiwasili viwanjani hapa.

Viongozi wakuu wa Serikali.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms