Saturday, April 14, 2012

.....HAYA NDO MANENO YA MWISHO YA KANUMBA KWETU WATOTO ALIOTUKUZA KISANAA - JENIFFER........


MSANII CHIPUKIZI NYOKA WA UNCLE JJ,THIS IS IT HANIFA DAUDI A.K.A JENNIFER AMESEMA WIKI MOJA KABLA YA KIFO CHA UNCLE JJ ALITUITA WATOTO WAKE WOTE NYUMBANI KWAKE NIKIWA MIMI (JENNIFER),PATRICK,SOPHIA NA ABDULKARIM AMBAPO ALITUANDALIA CHAKULA CHA MCHANA,WAKATI WA KULA UNCLE ALISEMA KUANZIA LEO SITAKI KUMUONA MTU ANANIITA UNCLE MIMI NI BABA YEN...U SAWA? NA PIA ALIONGEZA KWA KUSEMA NIKIFA SITAKI KUONA MTU YEYOTE AKIFANYA KAZI NJE YA KAMPUNI YANGU,AKIONGEA HUKU AKILIA JENNIFER ALIONGEZA SIKU HIYO ALITUPELEKA GIRRAFE HOTEL TULICHEZA NAE ADI JIONI AMBAPO ALITURUDISHA MAJUMBANI KWETU KILA MMOJA NA HIYO NDO ILIKUWA SIKU YANGU YA MWISHO KUONANA NA KWANI BAADA YA HAPO NILIENDA ZANGU ZANZIBAR NDIKO NILIKOPOKEA TAARIFA YA MSIBA WA UNCLE JJ AMBAPO NILIPIGIWA SIMU NA AUNT EZEKIEL KWA KWELI SIKUAMINI NIKAMPIGIA SIMU MAMA NAYE AKASEMA IVYO IVYO BADO SIKUAMINI NIKAPIGA SIMU KWA UNCLE JJ LAKINI SIMU YAKE ILIKUWA INAIITA BILA KUPOKELEWA.KWAKWELI NAISI KAMA NDOTO ZANGU ZIMEZIMWA NILIKUWA SIJUI KAMA SIKU ILE NDO ALIKUWA ANATUAGA WATOTO WAKES

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms