Friday, March 2, 2012

.........UCHUMI WACHANGIA KWA MSANII HUYU KUTELEKEZA GARI LAKE GARAGE.............

Kwa habari zilizotapakaa mtaani ambazo sina uhakika nazo zinasema kuwa, msanii mweye jina kubwa bongo Johari pichani juu amelitelekeza gari lake garage kwa sababu ya uchumi mubovu. Mtoa habari hizi alidai kuwa kwasasa Johari hana mpango wa kwenda kulikomboa gari hilo Garage ambako alilitelekeza wiki tatu zilizopita. Masnii huyu aliipeleka gari hiyo garage kwa ajili ya matengenezo lakini tangu aondoke hajatia tena mguu wake katika garage hiyo na anaonekana kuwa  hana haraka na gari hilo kwasasa.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms