Saturday, March 24, 2012

.......RAY J ATISHIA KUANIKA PICHA ZA NGONO ALIZOPIGA NA MAREHEMU WHITNEY HOUSTON.....

FAMILIA ya hayati Whitney Houston imemwomba mwanamuziki, Ray J, asitoe mkanda wa video unaomwonyesha akiwa faragha na Whitney baada ya habari za kutaka kutolewa mkanda huo kuzagaa.

Haijathibitika kama kweli Ray J aliwahi kupiga picha za ngono akiwa na Whitney, ila tetesi zimeenea kuwa mkanda huo upo ndiyo maana familia ikampigia simu kumuomba asifanye kitendo hicho.

Ndugu wa karibu wa Whitney amemwambia Ray J huu ni wakati wa kumpumzisha mwanamuziki huyo, ambaye wakati wa uhai wake alipata misukosuko mingi ikiwa ni pamoja na kutumia dawa za kulevya.

Hii haitakuwa mara ya kwanza kwa Ray J kutoa mkanda wa video unaomwonyesha akiwa faragha, mwaka 2007 alitoa mkanda wa ngono kati yake na staa Kim Kardashian.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms