Thursday, March 1, 2012

.....MUSIINGILIE KAZI YA MUME WANGU JAMANI.........

OGE Okoye, ni mtoto wa mjini na anashangaa sana mnavyosema eti anashinda kwenye kumbi za starehe usiku na sasa anawauliza kwamba: Mbona mume wangu haniulizi

Msanii huyo mwenye watoto wawili, imeripotiwa kwamba hakosekani klabu kila wikiendi na amekuwa karibu na kampani ambazo wadau wanadai zinampotosha kwani hazifanani naye.

Siwaelewi kabisa mnachosema, mimi nimekulia London najua maana ya starehe na kuzikabili, wala sioni cha ajabu mke wa mtu kama mimi kwenda klabu,anasema.

Hata mume wangu akiwa hapa Nigeria tunaenda naye klabu kama kawaida, kama hayupo naenda na rafiki zangu.

0 comments:

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
Design by Free WordPress Themes | Bloggerized by Lasantha - Premium Blogger Themes | Grants For Single Moms